Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mombasa Martin Kivuva ametoa wito kwa serikali pamoja na Wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma nchini kuanzisha mazungumzo ya...
Idara ya usalama katika kaunti ya Kilifi imeanzisha uchunguzi baada ya kumkamata Mhubiri tata Kamanza Mwatela Kwa tuhma za mahubiri potovu ya kidini katika kijiji cha...
Waziri wa Utalii, Rebecca Miano, amesema Kenya inalenga kupokea watalii milioni 5 wa kimataifa na wengine takriban milioni 10 wa ndani kwa ndani. Akizungumza jijini Mombasa...
Naibu wa rais Prof. Kithure Kindiki amemkosoa Rais mstaafu Uhuru Kenyata kutokana na matamshi yake dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza. Akirejelea suala aliloibua rais mstaafu...
Bandari ya Mombasa imeendelea kuthibitisha nafasi yake kama lango kuu la biashara Afrika Mashariki baada ya kupokea kwa mara ya kwanza meli kubwa ya mizigo, ya...