Mapato ya kilimo cha mboga na matunda yalipungua hadi shilingi bilioni 136.6 ikilinganishwa na shilingi bilioni 156.7 zilizonakiliwa mwaka jana. Mapato ya majani chani pia yalipungua...
Rais William Ruto amesema Kenya na Marekani zitasaini mkataba wa kibiashara ifikapo mwisho wa mwaka huu. Rais Ruto anatarajiwa pia kushinikiza Washington kuongeza mkataba wake wa...
Chama cha wanasheria nchini (LSK), tawi la Mombasa, kimetaka kusimamishwa kazi mara moja kwa mkuu wa kituo cha polisi cha Central jijini Mombasa pamoja na maafisa...
Mahakama ya Kilifi imemhukumu kifungo cha miaka miwili gerezani mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 36 kwa kosa la kumpiga bibi yake na kumsababishia majeraha. Akitoa...
Kocha mkuu wa Bandari FC, Ken Odhiambo, ameonyesha kujiamini kuwa kikosi chake kipo tayari kurejea kwenye njia ya ushindi, wanapowakaribisha Shabana FC Jumapili alasiri kwenye mechi...