Shuguli za masomo zimeendelea kutatizika kwa siku ya saba sasa katika vyuo vikuu vya umma kote nchini kutokana na mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu uliaonza...
Mbunge wa Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi Owen Baya amesema kuwa uskwota umekithiri mno katika ukanda wa Pwani. Katika mazungumzo ya kipekee na Meza yetu ya...
Katibu mkuu wa Chama cha UDA Hassan Omar Sarai, imemkosoa Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen kutokana na kuchapisha katika gazeti rasmi la serikali kundi...
Mwanamuziki maarufu wa Dancehall, Vybz Kartel, amesisimua mashabiki mtandaoni baada ya kujibu comment kwa lugha ya Kiswahili. Msanii huyu kutoka Jamaica, anayejulikana pia kama World Boss,...
Wavuvi wa eneo la Pwani wameitaka serikali kuu na zile za kaunti kuwatafutia masoko ya kimataifa kwa ajili ya bidhaa zao za samaki. Wavuvi hao walisema licha...