Mkufunzi Ruben Amorim ameonya kilabu yake ya Manchester United kuacha kujiletea ugumu usio wa lazima baada ya timu hiyo kumpunguzia presha kwa kupata ushindi wa 2-1...
Kenya itawania kutetea taji ya wanawake ya mita 800 katika siku ya mwisho ya makala ya 20 ya mashindano ya Riadha Duniani mjini Tokyo, Japan, leo....
Mkenya Beatrice Chebet aliongoza Kenya kunyakua nishani za dahahbu na fedha katika fainali ya mita 5000 katika siku ya nane ya mashindano ya Riadha Duniani Jumamosi...
Idara ya usalama mjini Malindi katika kaunti ya Kilifi imesema itaendelea kutekeleza oparesheni ya kuwasaka wahalifu wanaoendelea kuhangaisha wakaazi. Mafisa waa usalama walisema kufikia sasa takriban...
Rais William Ruto ameondoka nchini Jumamosi 20, Septemba 2025, kuhudhuria Mkutano Mkuu wa 80 wa Umoja wa Mataifa mjini New York, nchini Marekani. Katika taarifa yake...