Timu ya taifa ya soka ya Kenya, Harambee Stars, imeshuka kwa nafasi mbili kwenye msimamo wa Dunia FIFA wa mwezi huu uliotolewa leo. Kenya ni ya...
Naibu Chifu wa eneo la Sabaki eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi Rachael Malingi amewahimiza kina mama wajawazito kuhakikisha wanafika hospitalini ili kujifungua salama. Akizungumza...
Mshambulizi Harry Kane alifunga mabao mawili na kuisaidia Bayern Munich kushinda Chelsea 3-1 nyumbani katika mechi yao ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa siku ya Jumatano....
Mkufunzi mreno Jose Mourinho ameripotiwa kukubali kandarasi ya miaka miwili kuwa kocha mkuu wa Benfica, miaka 25 tangu alipohudumu kwa mara ya kwanza katika klabu hiyo....
Mabingwa wa Dunia katika mbio za mita 10,000 Beatrice Chebet na Faith Kipyegon wa mita 1,500, watakutana leo kwenye nusu fainali ya mita 5,000, huku mashindano...