Benki ya KCB kwa ushirikiano na bebki ya Afrexim zimeingia kwenye mkataba wa maelewano unaolenga kutoa usaidizi wa kuwezesha kifedha na kibiashara kwa wawekezaji wanaoendesha shughuli...
Muungano wa Wahadhiri wa vyuo vikuu nchini (UASU) wameanza mgomo wao licha ya Hazina ya kiaifa kutoa shilongi bilioni 2.5 kwa ajili ya kutekeleza awamu ya...
Idara ya Mahakama nchini pamoja na Wanasheria wanaomboleza kifo cha Jaji wa Mahakama ya Rufaa Fredrick Ochieng’ Andago aliyefariki dunia siku ya Jumatano, Septemba 17, 2025 ...
Faith Cherotich wa Kenya ameshinda dhahabu ya mbio za kuruka viunzi na maji za mita 3,000 kwenye Mashindano ya Dunia ya Riadha mjini Tokyo siku ya...
Mahakama ya Kilifi imeagiza mshtakiwa wa kesi ya usafirishaji wa Mihadarati aina ya bangi kuendelea kuzuiliwa rumande wakati kesi hiyo ikiendelea. Akitoa agizo hilo Hakimu wa...