Kikosi cha Wanamichezo wa para kutoka Kenya hawachi jambo lolote kwa bahati nasibu wanapojiandaa kwa Mashindano ya Dunia yatakayofanyika mwezi huu mjini New Delhi, India. Timu...
Rais William Ruto amesema kuwa uchumi wa taifa umeimarika hata zaidi tangu alipoingia mamlakani. Akizungumza na vyombo vya habari rais Ruto alidokeza kuwa mwaka wa 2022...
Shughuli za masomo katika vyuo vikuu vya umma nchini zinaendelea kuathirika huku mgomo wa kitaifa wa wahadhiri ukiingia siku ya tatu leo. Katibu mkuu wa chama...
Halmashauri ya bandari nchini KPA imetangaza mpango wa kuboresha huduma katika kivuko cha feri cha Likoni, unaojulikana kama “Traffic Circulation Management Plan” unaolenga kupunguza msongamano, kuongeza usalama, na kuboresha...
Mojawapo ya sauti kubwa zaidi nyuma ya mafanikio ya muziki wa wasanii wengi Kenya, Producer lejendari J-Crack, amezungumza na Coco FM kuhusiana na posti ya Susumila...