Mkurugenzi mkuu wa shirika la World Vision Kenya Geophrey Kativa ameitaka serikali ya kaunti ya Kilifi kusimamia vyema miradi mbali mbali iliyotekelezwa katika eneo la Magarini...
Itikadi za kidini na mafunzo ya kupotisha, sasa zimeanza kupenya katika mazingira ya shule licha ya uovu huo kuonekana katika maeneo ya nyumba za ibada na...
Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP) imehitimisha rasmi kesi yake dhidi ya mauaji ya Shakahola, ambapo Mhubiri tata Paul Mackenzie na wenzake 35 wanakabiliwa...
Malkia wa Bongo Flava, Zuchu, ametuhumu hadharani Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kwa kushindwa kumlipa baada ya kutumbuiza katika fainali za Mashindano ya Mataifa ya...
Familia ya riadha nchini Kenya inaomboleza kifo cha mshindi wa nishani ya fedha kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola ya mwaka 2014, Jairus Kipchoge Birech, mmoja...