Kilabu ya Diani Stars walitwaa ubingwa wa wanaume baada ya kuichapa Barbados 4-2, huku Mwanambeyu Girls wakinyakua taji la wanawake kwa ushindi wa 4-2 dhidi ya...
Mshambulizi Ferran Torres alifunga mabao mawili kwa mabingwa Barcelona walipoichapa Getafe 3-0 Jumapili na kusalia nyuma ya Real Madrid kileleni mwa La Liga. Dani Olmo pia...
Bandari ya Mombasa imepokea meli ya kwanza ya aina yake, MV Grande Shanghai, ambayo imetengenezwa kwa teknolojia ya kisasa inayowezesha kupunguza kwa kiasi kikubwa uchafuzi wa mazingira....
Mamlaka ya kitaifa ya kusimamia barabara kuu nchini KeNHA imesema ujenzi wa barabara kuu ya Mombasa-Kilifi inatarajiwa kukamilika kufikia mwezi Disemba mwaka ujao. Kaimu Mkurugenzi wa...
Mbunge wa Kilifi kaskazini Owen Baya amewataka viongozi wa kaunti ya Kilifi kujukumika katika utendakazi wao na kuangazia changamoto wanazopitia wakaazi. Akizungumza katika kipindi cha Coco...