Waziri wa Kilimo, Mutahi Kagwe, amesisitiza umuhimu wa wakulima nchini kukumbatia teknolojia ya kisasa katika shughuli zao za ufugaji, akisema kuwa hiyo ndiyo njia bora ya...
Mabingwa wa Dunia Faith Kipyegon, Beatrice Chebet, Lillian Odira na Emmanuel Wanyonyi wamerejea nyumbani leo kutoka Tokyo, Japan, walikoshiriki mashindano ya Riadha Duniani. Familia, ndugu, jamaa...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni mwenye umri wa miaka 81 ameidhinishwa na tume ya uchaguzi ya nchi hiyo kugombea nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu wa...
Rais wa Botswana Duma Boko ametangaza Septemba 29 mwaka huu kuwa siku ya mapumziko kusherehekea ushindi wa dhahabu ya Dunia na timu ya wanariadha wanne kupokezana...
Miamba wa soka wa Tanzania, klabu ya Simba, wameafikiana kuachana na kocha mkuu Fadlu Davids baada ya kuhudumu kwa mmoja pekee. Kulingana na taarifa kwa umma,...