Rais William Samoei Ruto amezindua malipo ya shilingi bilioni 4.4 kwa ajili ya gharama ya matibabu ya wakenya milioni 2.2 wasiojiweza chini ya mpango wa bima...
Mshambulizi wa Uingereza Marcus Rashford alifunga mara mbili huku Barcelona ikianza vema kampeni yake ya Ligi ya Mabingwa kwa ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya Newcastle...
Tume ya kitaifa ya huduma ya polisi (NPSC) hatimaye imetangaza usajili wa maafisa 10,000 wa polisi, na kumaliza mzozo wa muda mrefu kati yake na huduma...
Polisi mjini Mombasa wameanzisha uchunguzi kufuatia kifo cha mshukiwa mmoja aliyefariki muda mfupi baada ya kukamatwa na kupelekwa katika kituo kikuu cha polisi cha Central jijini...
Timu ya taifa ya mpira wa voliboli ya vijana chini ya miaka 20, Junior Wafalme Stars, imefuzu kwa nusu fainali ya Mashindano ya Mataifa ya Afrika...