Rais William Ruto amefungua rasmi kituo kipya cha reli cha Miritini kisiwani Mombasa. Katika taarifa yake wakati wa uzinduzi huo Rais Ruto alisema abiria watakuwa wakilipa...
Serikali imetangaza mpango wa kuongeza mgao wa mafuta ya Petroli na diseli ya kila mwezi kwa magari ya polisi kutoka lita 450 za sasa hadi lita...
Haya Ni kama marudio ya fainali ya mwaka 2012 uwanjani Allianz Arena, ambapo Chelsea walishinda kwa mikwaju ya penalti. Bayern haina muda wa kutulia baada ya...
Shirika la kutathmini ubora wa mbegu na ustawishaji wa mimea nchini (KEPHIS), limepinga vikali mswada wa marekebisho ya mbegu na aina za mimea wa mwaka 2025,...
Wanariadha wa humu nchini watalenga kujiongezea nishani zaidi katika siku ya tano ya mashindano ya Riadha Duniani mjini Tokyo Japan leo jioni. Mshindi wa nishani ya...