Serikali imeweka wazi hatua ilizopiga katika kipindi cha miaka mitatu tangu Rais William Ruto achukue hatumu ya uongozi nchini. Katika taarifa iliyotolewa na taifa kupitia vyombo...
Mshambulizi Erling Haaland alifunga mabao mawili huku Manchester City ikiipa pigo jingine Manchester United ya kocha Ruben Amorim kwa ushindi wa 3-0 katika mechi ya Ligi...
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Luhaga Joelson Mpina amekutana tena na kizingiti kingine baada ya Tume ya Uchaguzi nchini Tanzania kuondoa jina...
Mwakilishi wa Kike kaunti ya Mombasa Zamzam Mohammed, amewataka wakaazi zaidi ya 400 waliopatiwa hatimiliki za ardhi katika eneo bunge la Jomvu kuzitumia vyema hati miliki...
Kilabu ya KCB wametawazwa mabingwa wa Dala Sevens 2025 baada ya kuwashinda mahasimu wao wakuu Kabras RFC kwa alama 12-7 kwenye fainali ya kusisimua iliyochezwa chini...