Naibu Chifu wa Shella mjini Malindi kaunti ya Kilifi Nicodemus Mwayele ametoa wito kwa wenyeji kushirikiana na asasi za usalama ili kuyakabili magenge ya kihalifu ambayo...
Chama cha Chadema nchini Tanzania kimedinda kuendelea na kesi ya uhainini inayomkabili mwenyekiti wake Tundu Lissu hadi pale wanachama na wafuasi wake watakapokuwa wanaruhusiwa kuingia mahakamani....
Katika kile kinachoonekana kama msukumo mkubwa kwa Ligi Kuu ya Kenya (KPL), Shirikisho la Soka Kenya (FKF) limetangaza ongezeko kubwa la zawadi ya fedha kwa mabingwa...
Bingwa wa Dunia wa mita 1500 mwaka 2019 Timothy Cheruiyot na bingwa wa dunia kwa chipukizi chini ya umri wa miaka 20 Reynold Cheruiyot wamejikatia tiketi...
Bingwa wa dunia kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka 20 Edmund Serem ameishindia Kenya nishani ya shaba ya mbio za mita 3000 kuruka viunzi na maji...