Wadau katika sekta ya mazingira kaunti ya Lamu wanasema mabadiliko ya hali ya anga yanayoshuhudiwa sawa na ujenzi wa bandari ya Lamu kumechangia mapato ya samaki...
Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua ametangaza nia ya kuwania wadhfa wa urais mwaka 2027 akilenga kumg’oa rais William Ruto mamlakani. Gachagua amekuwa akifanya ziara...
Kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Msyoka ameitaka serikali ya rais William Ruto kutoa ufafanuzi kuhusu uwepo wa maafisa kutoka Jubaland hapa nchini. Kalonzo alisema hatua...
Mwanamuziki mashuhuri wa Congo (DRC) Mbila Bel, anaendelea kupata matibabu katika Hospitali Moja Mjini Kinshasa, baada ya Gari alimokuwa akisafiria kuhusika kwenye ajali ya barabarani Septemba...
Mahakama Kuu ya Malindi imewaachilia washukiwa watatu wanaohusishwa na kesi ya mauaji ya halaki ya watu katika kijiji cha Kwa Binzaro eneo bunge la Magarini kaunti...