Sekta ya boda boda nchini sasa itakuwa inadhibitiwa na sheria kali, ikiwemo usajili mpya unaoonyesha maeneo maalum ya vituo pamoja na sare za rangi tofauti kulingana...
Jaji mkuu mstaafu David Maraga amefokea ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma kwa kuwashtaki kwa makosa ya ugaidi vijana waliokamatwa wakati wa maandamano. Maraga alisema...
Ripoti ya upasuaji wa maiti kuhusu kifo cha wakili Mathew Kyalo Mbobu imebaini alipigwa risasi mara nane katika tukio la uvamizi ambalo lilisababisha kifo chake. Kulingana...
Mmiliki wa Crack Sound Records, J Crack, amepata pigo kubwa baada ya studio yake kuvamiwa na wezi walioiba vyombo vyake vya studio. Akizungumza na kipindi cha...
Marufuku ya kutotoka nje inaendelea kukiukwa nchini Nepal ambako ghasia za uharibifu wa mali na umwagikaji wa damu zinaendelea. Serikali ya Waziri mkuu KP Sharma Oli,...