Mahakama kuu nchini Tanzania imemrejesha kwenye debe mgombea urais wa chama cha upinzani ACT wazalendo, Luhaga Mpina na kupindua maamuzi yaliyotolewa na tume ya uchaguzi nchini...
Shughuli zote ziko tayari kwa ajili ya fainali ya kusisimua ya Raga ya Taifa ya Mizunguko ya Saba mwaka 2025, itakayofanyika jijini Kisumu marufu kama Dala...
Rais William Ruto ameikabidhi bodi ya majani chai shilingi bilioni 2.65 zilizopatikana kwa benki ambazo zimeshindwa kujiendeleza. Pesa hizo zilitoka kwa benki ya Chase na Benki...
Maafisa wa tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC wamesema wanaendelea na zoezi la kutambua sehemu za kuweka vituo vya kusajili wapiga kura hasa maeneo ya...
Serikali ya kaunti ya Mombasa imesema imeanza kutekeleza mpango wa kutumia nishati mbadala katika vituo vyote vya huduma za kaunti, kwa kuanza na mabadiliko ya mfumo...