Timu ya Kenya itakuwa na wawakilishi watatu kwenye fainali ya wanawake mita 1500 katika Mashindano ya Dunia ya Riadha mjini Tokyo, baada ya bingwa mara tatu...
Mkenya Peres Jepchirchir alitimka kishujaa katika mwisho wa mita 100 kwa kasi ya juu, akimshinda Tigst Assefa wa Ethiopia na kutwaa dhahabu katika marathoni ya wanawake...
Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Pwani mjini Kilifi ameaga dunia wakati akiogelea katika ufuo wa bahari hindi wa Vidazini katika eneo bunge la Kilifi Kazkazini kaunti...
Mkurugenzi wa Huduma Centre Ben Kai Chilumo anaomboleza kifo cha babake Kuhani Lazaro Chilumo Kai. Mzee Chilumo Kai alifariki Septemba 10, 2025 katika Hospitali ya Pandya...
Maafisa wa polisi Malindi kaunti ya Kilifi wanasema wamewanasa washukiwa 42 wa magenge ya uhalifu katika msako kwenye mitaa ya Karima, Soweto, Milano na Mgandini. Polisi...