Vijana humu nchini wamehimizwa kukumbatia ukulima wa bustani ili kujiiinua kiuchumi. Kulingana na Swalehe Joha ambaye anaendeleza kilimo hicho kutumia mitungi, alisema wakulima wanaweza endeleza kilimo bila hata kuwa na...
Upinzani nchini Sudan Kusini ulitoa wito Jumatatu 15, Septemba 2025, wa uhamasishaji wa silaha kufanya “mabadiliko ya serikali” ili kukabiliana na mipango ya kumweka kiongozi wake...
Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen amesisitiza umuhimu wa mbinu ya kuhusisha jamii nzima ili kukabiliana na misimamo mikali ya kidini, akionya kuwa kutegemea polisi...
Tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC na Mamlaka huru ya kuchunguza utendakazi wa maafisa wa polisi nchini IPOA zimeahidi kushirikiana ili kupambana kikamilifu...
Emillianah, muunda maudhui maarufu Kenya, amekuja hadharani na kuthibitisha kuwa hana uhusiano wa kimapenzi na mchekeshaji na muunda maudhui, Mulamwah, akimaliza uvumi uliokuwa ukizunguka kuhusu uhusiano...