Shirika la Kilifi Citizen Forum limekiri kwamba ukosefu wa ajira kwa vijana kaunti ya Kilifi ndio chanzo cha kuchipuka kwa visa vya mauaji ya wazee kwa...
Idara ya usalama kaunti ya Kilifi imewarai wakaazi kuwa waangalifu dhidi ya Wachungaji potovu waliojitokeza na kuwapotosha wananchi kwa misingi ya kidini. Afisa mkuu wa idara...
Beki wa taifa la Ufaransa William Saliba amesaini mkataba mpya wa miaka mitano na kilabu yake ya Arsenal na kusitisha uvumi wa kuondoka Emirate hivi karibuni....
Shirikisho la FIFA imewapunguzia alama Bafana Bafana ya Afrika Kusini baada ya kisa cha kumchezesha Teboho Mokoena kinyume cha sheria kwenye mechi ya kufuzu kombe la Dunia...
Kilabu ya AC Milan imejithibitisha kama washindani wa kweli wa taji la Serie A Jumapili baada ya ushindi muhimu wa 2-1 dhidi ya Napoli, ushindi uliowaweka...