Wakaazi wa eneo la Mariani wadi ya Adu eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi wanaitaka serikali ya kaunti ya Kilifi kukamilisha mradi wa maji ulioanzishwa...
Mamlaka ya Afya ya Kijamii (SHA) inasema imetoa shilingi bilioni 3.4 kwa vituo vya afya kote nchini ili kulipa madeni chini ya Hazina ya Bima ya Afya...
Kinara wa Chama cha DCP Rigathi Gachagua amewasili nchini Kenya baada ya ziara yake ndefu nchini Marekani. Vurugu zilishuhudiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa...
Vuguvugu la kupinga mahusiano ya jinsia moja mjini Mombasa limelalamikia bondi wanazopewa washukiwa wa kesi za ulawiti, wakisema pesa hizo huwa ni chache mno hali ambayo...
Huduma za matibabu katika hospitali na zahanati za umma kaunti ya Kilifi zimerejea kama kawaida baada ya wauguzi waliokuwa katika mgomo kusitisha mgomo wao rasmi. Hii...
Eneo la Rabai kaunti ya Kilifi ndio eneo linaloongoza katika kaunti nzima ya Kilifi na idadi kubwa ya watoto ambao hawajapokea chanjo yoyote inayochanjwa watoto. Haya...
Mbunge wa Changamwe Omar Mwinyi amewakosoa magavana nchini, akisema wameshindwa kuwajibikia majukumu yao ipasavyo katika kaunti zao. Mwinyi ambaye alikuwa akizungumza katika eneo la Portreiz eneo...
Kamati ya bunge la seneti kuhusu masuala ya Ardhi, Mazingira na maliasili imeilaumu Wizara ya Ardhi nchini kwa kutowasilisha stakabadhi za ardhi za kaunti ya Kilifi...
Serikali ya Kenya na Uganda zimeafikia azimio la ushirikiano ili kuboresha sekta ya utalii kwa kuuza sifa za vivutio vya utalii kupitia mfumo wa teknolojia na...
Rais William Ruto amebuni jopokazi la pamoja linaloshirikisha idara mbalimbali nchini na mashirika ya kiserikali ili kupiga jeki vita dhidi ya ufisadi nchini. Jopokazi hilo linahusisha...