Tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC na Mamlaka huru ya kuchunguza utendakazi wa maafisa wa polisi nchini IPOA zimeahidi kushirikiana ili kupambana kikamilifu...
Serikali imeweka wazi hatua ilizopiga katika kipindi cha miaka mitatu tangu Rais William Ruto achukue hatumu ya uongozi nchini. Katika taarifa iliyotolewa na taifa kupitia vyombo...
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Luhaga Joelson Mpina amekutana tena na kizingiti kingine baada ya Tume ya Uchaguzi nchini Tanzania kuondoa jina...
Mwakilishi wa Kike kaunti ya Mombasa Zamzam Mohammed, amewataka wakaazi zaidi ya 400 waliopatiwa hatimiliki za ardhi katika eneo bunge la Jomvu kuzitumia vyema hati miliki...
Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Pwani mjini Kilifi ameaga dunia wakati akiogelea katika ufuo wa bahari hindi wa Vidazini katika eneo bunge la Kilifi Kazkazini kaunti...
Mkurugenzi wa Huduma Centre Ben Kai Chilumo anaomboleza kifo cha babake Kuhani Lazaro Chilumo Kai. Mzee Chilumo Kai alifariki Septemba 10, 2025 katika Hospitali ya Pandya...
Maafisa wa polisi Malindi kaunti ya Kilifi wanasema wamewanasa washukiwa 42 wa magenge ya uhalifu katika msako kwenye mitaa ya Karima, Soweto, Milano na Mgandini. Polisi...
Wadau katika sekta ya mazingira kaunti ya Lamu wanasema mabadiliko ya hali ya anga yanayoshuhudiwa sawa na ujenzi wa bandari ya Lamu kumechangia mapato ya samaki...
Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua ametangaza nia ya kuwania wadhfa wa urais mwaka 2027 akilenga kumg’oa rais William Ruto mamlakani. Gachagua amekuwa akifanya ziara...
Kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Msyoka ameitaka serikali ya rais William Ruto kutoa ufafanuzi kuhusu uwepo wa maafisa kutoka Jubaland hapa nchini. Kalonzo alisema hatua...