Rais William Ruto ametangaza kwamba Agosti 27, itakuwa siku ya kitaifa ya Katiba Dei ambayo itakuwa ikiadhimishwa kila mwaka. Tangazo hilo ambalo lilichapishwa katika gazeti rasmi...
Viongozi wa makanisa wanamtaka rais William Ruto kutimiza vitisho vyake na kuwachukulia hatua wabunge anaodai wanahusika na visa vya ufisadi nchini. Baraza la makanisa nchini NCCK...
Maafisa wa upelelezi wa makosa ya jinai DCI, katika eneo bunge la Kisauni kaunti ya Mombasa wanasema wamewatia mbaroni washukiwa wawili wa uhalifu wa wizi wa...
Watu wawili wanahofiwa kufariki baada ya boti walimokuwa wakisafiria kuelekea eneo la Shanga Kisiwani Patekaunti ya Lamu kuzama bahari hindi kwa siku ya tatu leo. Ibrahim...
Mahakama ya Kilifi imetoa agizo la kukamatwa kwa Wanaume wawili walioshtakiwa kwa kosa la unajisi wa mtoto wa umri wa miaka 14. Akitoa agizo hilo, Hakimu...
Kenya inalenga kubadilisha uhusiano wake wa kiuchumi na Japan kutoka utegemezi wa misaada katika usawa wa kibiashara, mtaji na ubinafsi pamoja na ubunifu. Rais William Ruto...
Senata wa kaunti ya Mombasa Mohammed Faki ameitaka idara ya mahakama kuanzisha rasmi huduma za mahakama ya kadhi katika mahakama ya Shanzu kama njia moja ya...
Maiti tano zimefukuliwa kutoka eneo la kwa Binzaro kaunti ya Kilifi, siku ya kwanza ya zoezi la kufukua maiti eneo hilo. Maafisa wa upelelezi wanaohusika na...
Wakaazi wanaoishi katika vijiji vya Mitsemereni, Goshi na Kavunzoni katika wadi ya Bamba eneo bunge la Ganze kaunti ya Kilifi wanalia ngoa kutokana na changamoto za...
Shughuli ya kuyafukua makaburi eneo la Kwa Binzaro katika eneo la Chakama kaunti ya Kilifi imeanza rasmi siku ya Alhamisi Agosti 21, 2025. Ufukuzi huo ulicheleweshwa...