Serikali imetangaza kwamba bodi ya mikopo ya elimu ya juu nchini HELB imesambaza shilingi bilioni 9.46 kwa wanafunzi 309,178 wa vyuo vikuu kote nchini. Waziri wa...
Wakaazi wa eneo la Chumani, Wadi ya Matsangoni Kaunti ya Kilifi, wameandamana kulalamikia kucheleweshwa kwa ujenzi wa barabara ya Malindi-Mombasa, wakidai kwamba barabara hiyo imekuwa hatari...
Sherehe za kitamaduni za Chenda chenda za Makaya Tisa katika ukanda wea Pwani ambazo hufanyika kila mwaka, zimeratibiwa kufanyaika katika kaunti ya Kwale mwaka huu. Kikao...
Bunge la seneti limetangaza kwamba siku ya Jumatano Agosti 20, 2025 litakuwa na kikao maalum cha bunge ili kujadili hoja mbili muhimu kwa kuambatana na sera...
Wakulima wa korosho eneo la pwani wanalalamikia mazao duni kutokana na uvamizi wa wadudu kwenye mimea yao. Kulingana na wakulima hao, mmea huo ulivamiwa na wadudu...
Mkufunzi wa mchezo wa soka kaunti ya Mombasa Mbarak Swaleh maarufu Coaches amefikishwa katika Mahakamani ya Mombasa akikabiliwa na kosa la ulawiti wa mtoto wa kiume...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, Tundu Lissu, imezuiwa kurushwa mubashara au kuchapishwa taarifa za ushahidi baada ya Mahakama kutoa...
Rais William Samoei Ruto pamoja na Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga wameongoza kikao cha pamoja cha wabunge wa chama ODM na UDA katika eneo...
Kamati ya habari na mawasiliano bungeni ikiongozwa na mwenyekiti Wahome Wamatinga imefanya ziara yake katika uwanja wa maonyesho ya kilimo eneo la Nyali kaunti ya Mombasa....
Gavana wa kaunti ya Kericho Eric Mutai amebanduliwa mamlakani kupitia hoja ya kutokuwa na Imani naye. Jumla ya Wawakilishi wadi 33 kati ya 47 wa bunge...