Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imewahakikishia wakenya kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027 kutakuwa huru na wa haki kwani tume hiyo imejipanga...
Rais William Ruto ametia saini na kuwa sheria miswaada miwili muhimu inayokusudiwa kupiga jeki ufadhili wa Serikali za Ugatuzi nchini. Rais Ruto ambaye anahudhuria Kongamano la...
Vijana katika eneo bunge la Rabai kaunti ya Kilifi wamehimizwa kutumia talanta zao kikamilifu ili kujikimu kimaisha. Wakiongozwa na Samuel Mweni, vijana hao walisema kuwa idadi...
Maafisa tawala eneo la Malindi kaunti ya Kilifi wametoa wito kwa wachungaji wa eneo hilo kuyasajili makanisa yao kwenye afisi za utawala mara moja. Wakiongozwa na...
Ukosefu wa vitambulisho vya kitaifa pamoja na vyeti vya kuzaliwa ni changamoto inayoathiri shughuli ya usajili wa watu wanaoishi na uwezo maalum kaunti ya Kwale. Haya...
Kongamana la 9 la magavana nchini limeingia siku yake ya pili Agosti 13, 2025 katika kaunti ya Homabay ambapo masuala mbalimbali yanayohusu ugatuzi yanatarajiwa kujadiliwa na...
Wavuvi eneo bunge la Likoni, kaunti ya Mombasa, wameitaka halmashauri ya bandari nchini (KPA) kusitisha mara moja shughuli za kumwaga tope maeneo ya bahari wanakofanyia shughuli...
Wajumbe zaidi ya elfu 30 wanahudhuria Kongamano la 9 la Ugatuzi la mwaka wa 2025 katika kaunti ya Homabay linaloanza rasmi Agosti 12, 2025. Akihutubia Wanahabari...
Shirika la wanawake mawakili nchini (FIDA) limekemea vikali ongezeko la visa vya dhulma za wanawake kwenye mitandao ya kijamii. Mkurugenzi mtendaji wa shirika hilo Anne Ireri...
Mili mingine minne imepatikana ikiwa imeoza kiasi cha kutotambulika katika msitu wa Shakahola karibu na kijiji cha Binzaro eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi. Mili...