Utafiti uliyofanywa na kampuni ya Timely Kenya kuhusu uongozi na uwajibikaji wa serikali za kaunti umewaorodhesha baadhi ya magavana kama viongozi wachapa kazi. Utafiti huo umemuorodhesha...
Mamia ya wauguzi kaunti ya Kilifi wamegoma na kufanya maandamano katikati mwa mji wa Kilifi. Wauguzi hao wanalilia haki yao ikiwemo mishahara pamoja na kurejeshwa kazini...
Bandari ya Lamu inazidi kujipatia umaarufu kama kitega uchumi kipya kwenye uchumi wa baharini kaunti ya Lamu lakini pia katika ukanda wa Afrika mashariki. Meneja mkuu...
Sekta ya biashara katika kaunti ya Homabay ambako kongamano na ugatuzi linaendelea, imeimarika hata zaidi. Kulingana na wamiliki wa mikahawa na baa eneo hilo walisema kuwa...
Serikali ya kaunti ya Mombasa inalenga kuwekeza shilingi laki moja ili kunufaisha miradi ya mafunzo na ajira kwa vijana kujiendeleza kimaisha. Katibu katika Wizara ya biashara,...
Kinara wa Chama cha ODM Raila Odinga amependekeza fedha zote zinazosambaza kwa hazina ya NG-CDF na NGAAF, kufanywe marekebisho ili fedha hizo kusambazwa kwa serikali za...
Maafisa wa usalama kwa ushirikiano na wale Shirika la huduma kwa wanyamapori nchini KWS, wamewatahadhari wananchi kuwa waangalifu dhidi ya Wanyamapori hasa Ndovu katika eneo la...
Huku Kongamano la Ugatuzi awamu ya 12 likiendelea kaunti ya Homa Bay, bado Wakenya wanaendelea kutathmini iwapo malengo ya ugatuzi yanatimizwa. Yapo maswali mengi tu kuhusu...
Mkurugenzi mkuu wa shirika la Kenya Land Alliance, Faith Alubbe amesisitiza haja ya serikali za kaunti na ile ya kitaifa kuendelea kutoa hamasa kwa wananchi mashinani...
Huenda serikali ikalazimika kuizika miili ya watu waliofariki dunia eneo la Shakahola, Magarini kaunti ya Kilifi baada ya zoezi la kuitambua miili hiyo kusitishwa. Waziri wa...