Rais William Ruto amesema Kenya na Marekani zitasaini mkataba wa kibiashara ifikapo mwisho wa mwaka huu. Rais Ruto anatarajiwa pia kushinikiza Washington kuongeza mkataba wake wa...
Chama cha wanasheria nchini (LSK), tawi la Mombasa, kimetaka kusimamishwa kazi mara moja kwa mkuu wa kituo cha polisi cha Central jijini Mombasa pamoja na maafisa...
Mahakama ya Kilifi imemhukumu kifungo cha miaka miwili gerezani mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 36 kwa kosa la kumpiga bibi yake na kumsababishia majeraha. Akitoa...
Baraza kuu la vyombo vya habari nchini MCK limeshinikiza kutengwa kwa shilingi milioni 1.5 ambazo zitatumika kuanzisha mfumo wa ukaguzi wa masuala ya maadili utakaotumia akili...
Mkuu wa sheria ameiambia mahakama kuwa hana ufahamu kuwa afisa wa polisi Benedict Kabiru alifariki dunia nchini Haiti, kinyume na matamshi ya rais William Ruto katika...
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera amekubali kushindwa katika uchaguzi wa wiki jana, akisema katika hotuba yake kwa taifa kwamba ni wazi mpinzani wake Peter Mutharika alikuwa...
Mgombea wadhifa wa ubunge katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi kupitia chama cha DCP Furaha Chengo Ngumbao almaarufu Kalama Wehu, amekana kupokea maagizo ya...
Mamlaka ya udhibiti wa kawi na petroli (EPRA) imekutana na maafisa wa Serikali ya Kaunti ya Mombasa kwa lengo la kutoa elimu kuhusu kanuni mpya za...
Waziri wa usalama wa kitaifa Kipchumba Murkomen amesema machifu watano wa kaunti ya Mandera waliotekwa nyara na wanamgambo wa alshabab mnamo mwezi Februari, 2025 na kuachiliwa...
Wafanyibiashara humu nchini wanaendelea kulalamikia kudorora kwa uchumi siku chache tu baada ya rais Wiliam Ruto kusema kuwa uchumi wan chi umeimarika. Wakizungumza mjini Kilifi kaunti...