Rais wa Tanzania Samia Suluhu sasa ametaka mazungumzo na upinzani wa taifa hilo baada ya uchaguzi uliokumbwa na utata na ghasia. Wito huu ukitolewa siku moja...
Serikali ya kaunti ya Mombasa imeshinikizwa kuheshimiana na bunge la Kaunti hiyo katika utendakazi wao, kwani malumbano kati yao yanaweza kuathiri utekelezaji wa miradi ya maendeleo...
Hatimaye wanaharakati Bob Njagi na Nicholas Oyoo wameachiliwa huru, siku 38 baada ya kutekwa nyara nchini Uganda wakisema walizuiliwa na jeshi la nchi hiyo kwa muda...
Idara ya mahakama katika kaunti ya Kilifi imesema imerekodi kesi 90 za visa vya dhulma dhidi ya watoto mwaka wa 2025 pekee katika huku kesi 46...
Watu 6 zaidi wamekamatwa na maafisa wa idara ya upelelezi wa jinai nchini DCI Kwa kuhusika na wizi wa mitihani ya kitaifa ya KCSE katika maeneo...
Serikali imesema imeweka mipango ya kuimarisha ufugaji mashiani kupitia teknolojia ili kupiga jeki uchumi wa taifa. Akizungumza nchini Qatar rais Wiliam Ruto alisema kuwa ufugaji ni...
Ripoti ya waangalizi wa Umoja wa Afrika imesema uchaguzi wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29, haukuzingatia viwango vya demokrasia na kanuni za kimataifa. Ujumbe huo ulieleza kwamba...
Chama cha walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri nchini, KUPPET, kimeitaka Tume ya huduma ya walimu nchini (TSC) kuwaajiri walimu wanagenzi hasa wale...
Wadau katika sekta ya utalii eneo la Watamu kaunti ya Kilifi wanasema uhaba wa maji ambao unashuhudiwa kwa mda mrefu unaathiri biashara zao. Kulingana na wadau...
Viongozi wa Muungano wa Wahadhiri wa vyuo vikuu nchini UASU na wale wa Wafanyikazi wa vyuo vikuu KUSU wamekubaliana kusitisha mgomo wao uliyodumu kwa takriban siku...