Rais William Ruto amevunja kimya chake kuhusu hatamu ya uongozi na kuwakosoa wale wanaoshinikiza kuendelea kusalia madarakani kwa miaka 20 licha ya Katiba ya Kenya kuweka...
Mahakama ya Kilifi imetoa kibali cha kukamatwa kwa washukiwa wawili ya kati ya watatu ambao ni raia wa Italia wanaokabiliwa na mashtaka ya unyakuzi wa ardhi...
Kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge, useneta na uwakilishi wadi katika maeneo mbalimbali, zinatarajiwa kutamatika rasmi siku ya Jumatatu Novemba 24 mwaka huu wa 2025, saa...
Mwenyekiti wa baraza la magavana nchini Ahmed Abdillahi ameishtumu Wizara ya afya nchini kwa kutoshirikiana na serikali za kaunti katika utekelezaji wa bima ya afya ya...
Muungano wa mawakala wa usafiri wa baharini nchini (KSAA), umeibua wasiwasi kuhusu ongezeko la gharama za uendeshaji wa shughuli za usafiri wa baharini katika bandari ya...
Wakfu wa George Kithi kwa mara nyengine umepata Tuzo za Africa Champions Awards kwa kutambulika kama Shirika linalotegemewa na wengi katika jamii. Tuzo hizo za Africa...
Kaimu Spika wa bunge la kaunti ya Taita taveta Anselm Mwadime pamoja na wajumbe wengine wa bunge la kaunti hiyo wamewasilisha hoja yao mbele ya bunge...
Katibu katika Idara ya huduma za magereza nchini Dkt. Salome Beacco amesema serikali itahakikisha wafungwa wanapata mazingira bora ya afya, elimu na jamii ili kuwawezesha kurejea...
Katibu katika Wizara ya Elimu nchini Julius Bitok, amesisitiza kwamba elimu ya shule za msingi na zile za upili nchini ingali bila malipo na kwamba mpango...
Mahakama ya Kilifi katika kaunti ya Kilifi inatarajiwa kutoa uamuzi wa dhamana kwa mshukiwa wa wizi wa kimabavu Joel Kalume Robert maarufu Kalume Diga. Hakimu wa...