Tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC, imeeleza kusikitishwa na idadi ndogo ya wananchi wanaojitokeza kujisajili kama wapiga kura tangu kuanza kwa zoezi hilo tarehe 29 Septemba mwaka...
Waziri wa Usalama wa kitaifa Kipchumba Murkomen, ametangaza kubuniwa jopo litakalomteua mwenyekiti na makamishna saba wa tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa (NCIC). Kulingana na...
Rais William Ruto amesema serikali yake imepiga hatua kubwa katika kuboresha viwango vya elimu nchini, huku ikijizatiti kuhakikisha kuna walimu wa kutosha katika taasisi zote za...
Viongozi wa chama cha ODM wamekita kambi katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi kwa ajili ya kumpigia debe Harrison Garama Kombe anayewania kiti cha...
Hospitali ya Rufaa ya kaunti ya Kilifi imepata mafanikio ya kihistoria ya kitabibu baada ya kufanikisha uzalishaji watoto mapacha walioshikana kwa mara ya kwanza. Watoto hao...
Mwenyekiti wa bodi ya barabara nchini Aisha Jumwa amekosoa matamshi ya viongozi wa chama cha ODM ya kujitenga na uhusiano wao na serikali jumuishi katika kampeni...
Wiki ya matibabu ya bila malipo ya mwaka 2025 inakamilika jumapili ya tarehe 2, Novemba 2025, katika chuo kikuu cha Pwani kaunti ya kilifi, huku ikivutia...
Mahakama ya Shanzu imeagiza washukiwa sita wa ulanguzi wa dawa ya kulevya aina ya Methamphetamine zenye thamani ya shilingi bilioni 8.2 kusalia korokoroni kwa siku 30...
Watu 12 wanahofiwa kufariki baada ya ndege ndogo ya utalii kuanguka katika eneo la Tsimba gatuzi dogo la Matuga kaunti ya Kwale. Ndege hiyo ilikuwa imetokea...
Kamati kuu ya Chama cha ODM imemuidhinisha Seneta Dkt Oburu Oginga kuwa Kaimu Kinara wa Chama hicho. Katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna, alisoma taarifa ya...